• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mipango na Uratibu

Seksheni ya Mipango na Uratibu ni moja ya Seksheni zilizopo katika Sekretariet ya Mkoa yenye malengo ya kuratibu, kusimamia na kujenga uwezo wa kitaalam kwenye Sekretariet ya Mkoa ambayo ina jukumu la kutoa ushauri na huduma za kitaalam kuhusu Mipango na Uratibu kwenye Mamlaka za Serikali za Mita

MAJUKUMU YA SEKSHENI

  • Kuratibu shughuli zote za maendeleo ya kijamii na kiuchumi (socio-economic development) zinazotekelezwa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, Sekta binafsi, Mashirika ya Umma, Vyama vya Ushirika, Asasi za Kiraia  na vikundi vya kijamii.
  • Kutoa ushauri wa kitaalam kwenye Sekretariet ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kutoa tafsiri sahihi ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa katika mipango inayotekelezeka.
  • Kuandaa, kuratibu na kusimamia utekelezaji wa vikao na maazimio ya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) na Bodi ya Barabara (RRB);
  • Kuratibu uandaaji, ufuatiliaji na tathmini ya mipango yote ya ngazi ya Mkoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (Mipango Mikakati, Mipango Kazi na Bajeti).
  • Kuratibu Miradi yote ya maendeleo ndani ya Mkoa inayofadhiliwa na wahisani na kutoa ushauri  pale inapobidi katika utekelezaji wake;
  • Kumshauri Katibu Tawala Mkoa kuhusu shughuli na uendeshwaji wa Taasisi-wadau wa maendeleo (Mashirika ya Umma,  Asasi za Kiraia na Sekta Binafsi) ndani ya Mkoa;
  • Kushauri na kuratibu shughuli zote za utafiti ndani ya Mkoa.
  • Kuratibu, kushauri na kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya takwimu ndani ya Mkoa;
  • Kuratibu  zoezi  la Sensa ya Watu na Makazi;
  • Kuratibu masuala yote yanayohusu Maafa ndani ya Mkoa;
  • Kusaidia na kuzishauri Halmashauri juu ya uandaaji na uandikaji wa Maandiko ya Miradi (Project Proposals) kwa wadau wa Maendeleo.
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala yote mtambuka kama masuala ya Jinsia, ulemavu, VVU/UKIMWI na watoto.
  • Kuratibu , Kufuatilia na  kutathmini ufanisi wa Sekretariet ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika utekelezaji wa shughuli zake za Maendeleo.


Matangazo

  • Taarifa ya Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA), 2018 Mkoa wa Geita January 04, 2019
  • Orodha ya Watumishi wa Umma wanaostahili kulipwa madeni ya mishahara February 08, 2018
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA -2018, MKOA WA GEITA December 11, 2017
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Elimu Zaidi Kuhusu Barabara Itolewe – Aagiza RC. Robert Gabriel

    February 21, 2019
  • Vijiji 12 Kuwashiwa Nishati Umeme Geita, Gereza la Butundwe Likiwemo

    February 19, 2019
  • “Mawaziri 8 Wafika Geita, Waahidi Kufikisha Maombi ya Ardhi ya Wananchi kwa Mhe. Rais, Waacha Tumaini”.

    February 19, 2019
  • Wadau Wakutana Kutathimini Utekelezaji wa Mradi wa Majisafi na Usafi wa Mazingira

    February 14, 2019
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: Box 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: +255 653 006 604

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa