• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mamlaka za Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wataalam wa Ardhi Watega Sikio Kupata Tafsiri ya Ardhi Waliyonayo Wananchi Mkoani Geita

Posted on: October 17th, 2020

Wataalam wa sekta ya ardhi mkoani geita wakiwemo maafisa ardhi, maafisa mipango miji, wapima ardhi, warasimu ramani na wathamini wameendelea kukutana ili kujiimarisha katika utendaji kazi wao huku wakihimizwa kuwa waadilifu ili kuepuka migogoro ya ardhi, ikiwa ni miezi saba tangu kukutana na waziri mwenye dhamana na ardhi mhe Lukuvi wakati wa ufunguzi wa ofisi za ardhi mkoa, kikao kilichofanyika oktoba 16, 2020 kwenye ukumbi wa mikutano, ofisi ya mkuu wa mkoa wa geita.

Akifungua kikao cha wataalam hao, mkuu wa mkoa wa geita mhandisi Robert Gabriel alisema, ni muhimu watumishi wa ardhi kufanya kazi kwa uadilifua na uaminifu, jambo litakalomaliza migogoro ambayo imekuwa ikiwasumbua wananchi wengi ambao walihangaika sana kwa wingi wa migogoro ambayo mingine ilisababishwa na watalaam, hivyo wanapaswa kuisaidia serikali kwenye eneo hilo.

"sekta hii ni sehemu iliyoumiza wengi, na wananchi waliitafsiri ardhi kama kitu kinachoweza kumilikiwa kwa utaratibu na matajiri tu kwani wengi walizungushwa sana hata katika upatikanaji wa hati na wengine kunyang'anywa viwanja vyao na wenye nguvu ya fedha, hivyo ninyi isaidieni serikali kwa kufanya kazi zenu kwa uadilifu na uaminifu",  alisema mhandisi gabriel.

Alisema, anaishukuru ofisi ya kamishna wa ardhi mkoa kwa kuendelea kuusaidia mkoa katika kupunguza changamoto na migogoro ya ardhi ambayo imekuwepo mkoani geita kwa kipindi kirefu, huku akihimiza wataalam hao kuendelea kutoa elimu ya ardhi kwa wananchi na kwamba ni uchumi ikiwa watajua thamani yake, lakini vilevile kuendelea kupima ardhi kwa gharama nafuu, kupanga miji na kuzisaidia halmashauri zao kuwa na mipango bora ya matumizi ardhi.

Naye kamishna msaidizi wa ardhi mkoa wa geita ndg.Rugambwa Banyikila alimshukuru mhandisi Gabriel kutokana na matunda ya kazi anazozisimamia ikiwemo kutoa dira ya mhe Rais kwenye eneo la ardhi  na kwamba wao kama wataalam wataendelea kufanya kazi kwa weledi na uadilifu ili kuleta maendeleo kwa pamoja na kupunguza hatimaye kuondoa migogoro yote ya ardhi.

kikao hicho kilihudhuriwa na wataalam hao wa ardhi kutoka wilaya zote za mkoa wa geita yani geita, chato, bukombe, mbogwe na nyang'hwale.







Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka -2021, Mkoa wa Geita. December 18, 2020
  • Fomu ya Ushiriki Kwenye Maonesho ya Tenkolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mjini Geita August 06, 2019
  • Vigezo vya Udhamini, Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji Kwenye Sekta ya Madini Mkoani Geita August 06, 2019
  • Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa Geita January 11, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Robert Gabriel aagiza kukamatwa kwa Mtendaji wa Kijiji aliyetoroka na fedha za Michango ya Madawati

    February 03, 2021
  • RC Geita Aipa Joto la Ushindi Timu ya Geita Gold FC Dhidi ya Pamba Sports Club ya Mwanza, Asema ana Deni Kwao.

    November 20, 2020
  • "Walimu na CWT, Tuisaidie Jamii Ijue Tulipotoka, Tulipo na Tunapokwenda" RC Geita Anena Hayo

    October 17, 2020
  • Wataalam wa Ardhi Watega Sikio Kupata Tafsiri ya Ardhi Waliyonayo Wananchi Mkoani Geita

    October 17, 2020
  • Tazama Zote

Video

Mwaliko Jukwaa la Fursa za Biashara Mkoani Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: Box 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa