Posted on: August 9th, 2019
Ni kauli ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya maonesho ya pili ya Nanenane Kanda ya ziwa magharibi inayojumuisha mikoa ya Mwanza, Geita na K...
Posted on: August 7th, 2019
Katika kuhitimisha kilele cha wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama duniani ambayo kitaifa ilizinduliwa Agosti Mosi na kwa Mkoa wa Geita agosti 2, 2019 Mamlaka ya Mji Mdogo Katoro ndani ya Halmshauri ya...
Posted on: August 6th, 2019
Katika kuboresha Sekta ya Afya hususan huduma ya damu salama, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita imekabidhi kwa uongozi wa hospitali ya rufaa, gari aina ya Mitsubishi Colt yenye namba za usajili STL 7159 ...