Mkoa una idadi kubwa ya mifugo. Kwa mujibu wa Sensa ya Mifugo ya mwaka 1997, Mkoa ulikuwa na ng’ombe wapatao 1,118,585, mbuzi 497,774, kondoo 106,336, nguruwe 14,405 na kuku 3,191,554. Hata hivyo, idadi ya ng’ombe kwa sasa inakadiriwa kuwa imeongezeka na kufikia ng’ombe 1,734,900.Idadi ya ng’ombe waliopigwa chapa hadi kufikia 31 Januari ni 576,666 ambayo ni sawa na asilimia 85 ya lengo la kupiga chapa ng’ombe 682,041. Changamoto iliyosababisha zoezi la upigaji chapa lisikamilike kwa asilimia 100 ni pamoja na baadhi ya wafugaji kuhamisha mifugo yao wakati zoezi likiendelea
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa