Mkoa unaendelea kuhamasisha wananchi kufanya shughuli ufugaji nyuki ili kujiongezea kipato lakini pia kuhifadhi misitu. Mkoa una wafugaji nyuki 2,082, Mkoa una mradi wa kujenga kiwanda cha kuchakata na kufungasha mazao ya nyuki. Kiwanda hicho kinajengwa Wilayani Bukombe kwa ajili ya kuchakata mazao ya misitu.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa