Kiwanja cha Ndege
Mkoa unatumia Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita ambao umejengwa Wilayani Chato. Uwanja huu una urefu wa kilomita 3 na umejengwa kwa gharama ya shilingi 39,151,000,000/= kazi ya ujenzi bado inaendelea. Aidha, Mkoa una bandari ndogo za Chato, Nkome na Nungwe
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa