• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mwekezaji wa Kiwanda cha Maji Atua Geita, Neema zaidi Kufuata

Posted on: August 7th, 2018

Ikiwa zimebaki siku nane (8) kabla ya Jukwaa la Fursa za Biashara kurindima Mkoani Geita kuanzia tarehe 15-16.08.2018, Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Gabriel, ameendelea kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa wawekezaji wanaopiga hodi ndani ya mkoa huu.

Amesema hayo alipompokea mwekezaji  ndugu. Khalfan Abdullah Khalfan tarehe 07.08.2018 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita ambapo mwekezaji huyo aliweza kueleza nia yake ndani ya mkoa huu.

Ndugu. Khalfan alisema, “nimetoka Dodoma jana, nimefika Geita, kwakweli nimeona zipo fursa nyingi  za uwekezaji,  hivyo mimi nitapenda kufungua kiwanda cha maji humu, maji yenye jina Geita,”. Hatua hii ni uungaji mkono wa juhudi za Mhe. Rais za kuifanya Tanzania ya uchumi wa viwanda.

Naye Mkuu wa Mkoa hakusita kuonesha furaha yake kwa mwekezaji huyo kwa kumpongeza kuichagua Geita kama sehemu sahihi ya kuwekeza, kisha kumwahidi ushirikiano kupitia wataalamu wa idara ya maji ili kuweza kufanikisha suala hili. “Haiwezekani umetoka Dodoma kuja kuwekeza Geita alafu ukwamishwe?, leo nenda na mtaalamu wetu ukaone na kutembelea vyanzo vya maji na baadaye taratibu zifuatwe ” aliongeza.

Kisha ndugu. Khalfan akatoa shukrani zake kwa mapokezi mazuri aliyoyapata na ushirikiano kutoka kwa Mkuu wa Mkoa na kuahidi kuharakisha ujenzi wa kiwanda hicho kwakuwa tayari ameona ni fursa kubwa mno kwa yeye kuitumia ndani ya mkoa huu.

Mkuu wa Mkoa wa Geita bado anatumia fursa hii kuwakaribisha watanzania na wageni wenye nia njema kuja kuwekeza Mkoani Geita kwani mazingira ni salama na rafiki kwa uwekezaji, hautajuta kukanyaga ardhi ya Mkoa wa Geita kwa ajili ya uwekezaji, hapa ni mahali salama pa uwekezaji.  



Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Mkoa wa Geita Kinara Utekelezaji wa Miradi ya TASAF

    May 27, 2025
  • Serikali Inathamini Vyama vya Ushirika- RC Shigela

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa