• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC Senyamule Akabidhi Mifuko 300 ya Saruji, Aunga Mkono Juhudi za Wadau wa Maendeleo Geita

Posted on: May 20th, 2022

Katika kutekeleza kauli ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan isemayo, “Tunajenga Nchi Pamoja”, mkuu wa mkoa wa Geita Mhe.Rosemary Senyamule amekabidhi jumla ya mifuko 300 ya Saruji kwa taasisi za kidini, vyama vya siasa, pamoja na wananchi ili kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanywa na wadau mbalimbali katika mnyororo wa maendeleo ndani ya mkoa, zoezi alilolifanya Mei 20, 2022 katika Bohari ya halmashauri ya wilaya ya Geita

Akikabishi mifuko hiyo, Mhe.Senyamule alisema, watu wa Geita ni wachapakazi na ndiyo maana aliguswa kuwaunga mkono akiamini kila mmoja kwa nafasi yake ana mchango mkubwa kwa maendeleo ya Geita na kusema pia unapounga mkono ujenzi wa misikiti na makanisa unaimarisha amani, umoja na mshikamano.

“kazi ya serikali ni kuongoza njia, kwakuwa watu wa Geita ni wachapa kazi niliona ni vyema niwaunge mkono pamoja na kuimarisha mahusiano mema na kuwatia moyo wananchi. Hivyo leo nakabidhi mifuko ya saruji 50 kwa Jimbo Kuu Katoliki Geita kwa ajili ya Kigango cha Magogo, 50 kwa ajili ya ofisi ya mtaa wa Lwenge, 50 kwa ajili ya Msikiti wa shilabela, 50 kwa ajili ya ofisi ya CCM Nyang’hwale na 100 kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba ya katibu CCM (M)” alisema Mhe.Senyamule.


Aliongeza kuwa, Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mengi mazuri na makubwa, hivyo kama wasaidizi wake nao wanaendelea kumuunga mkono na kumpa moyo katika ngazi za mikoa kasha kusisitiz juu ya wananchi kushiriki zoezi la anwazi za makazi, chanjo ya polio kwa watoto wa umri wa miaka 0-5 pamoja na sensa ya watu na makazi pale itakapoanza, lakini pia kuwaomba viongozi wa dini kuendelea kutoa hamasa kwa waumini wao ili kufanikisha agenda hizo za kitaifa.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa mifuko ya saruji, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi alisema, “mkuu wa mkoa, leo umefanya msingi bora kwa jamii. Umeonesha uadilifu mkubwa sana kwani umeahidi, umesema na kutenda, asante sana".

Kwa upande wao, Sheikh Tuwa Mohamed Tuwa wa Kata ya Kalangalala(BAKWATA), Padri Yohane Mabula wa Jimbo Kuu Katoliki Geita,  na Diwani wa Kalangalala Mhe.Prudence Temba wamemshukuru mkuu wa mkoa kwa upendo na umoja aliounesha kwa kuunga mkono shughuli zao na kwamba mifuko hiyo itatumiwa kwa kazi stahiki na itasimamiwa vyema.

Geita ya Dhahabu, Utajiri na Heshima. Kazi Iendelee.


Inaendelea:

Boazi Mazigo

Ag.HGCU

Geita RS



Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Mkoa wa Geita Kinara Utekelezaji wa Miradi ya TASAF

    May 27, 2025
  • Serikali Inathamini Vyama vya Ushirika- RC Shigela

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa