• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Serikali Kujenga Maabara ya Kisasa ya Uchunguzi Madini Geita

Posted on: December 2nd, 2025


Katika kuhakikisha huduma za uchunguzi wa madini ya aina mbalimbali zinaendelea kuboreshwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imekusudia kujenga maabara ya upimaji wa sampuli za madini katika Mkoa wa Geita.

Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni   na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akizungumza na wachimbaji wadogo Wilayani Nyang’hwale kwenye kikao kilichofanyika katika mgodi wa Kasubuya kata ya Nyijundu.

Mhe. Mavunde ameeleza kuwa  sekta ya Madini inategemewa sana katika kuchochea uchumi wa Nchi ya Tanzania na kwamba mchango wa wachimbaji wadogo unaotokana na shughuli za madini unaongezeka kila kukicha kutokana na maboresho makubwa ya sheria, sera yanayofanywa na Serikali ikiwemo ujenzi wa Maabara za vipimo na vifaa vya kisasa vya kupimia madini.

“Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kufanyika kwa utafiti wa kina wa madini ambapo kwa sasa Wizara inajipanga kutekeleza mradi wa ununuzi wa helikopta kwa ajili ya kufanya utafiti wa kina wa maeneo yenye madini na kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata taarifa sahihi na kuondokana na uchimbaji wa kubahatisha.” Aliongeza Mhe. Mavunde.

Waziri wa Madini alitumia jukwaa hilo kukabidhi leseni 36 za uchimbaji wa madini kwa vikundi 10 vya wachimbaji wadogo wilayani humo na kuwaasa wamiliki wa leseni za uchimbaji madini kuzingatia sheria ya madini sura ya 123 na kanuni zake katika utekelezaji wa majukumu yao.

Mhe. Mavunde pia ametoa rai kwa wamiliki wote wenye leseni za uchimbaji kuhakikisha wanaziendeleza na sio kuzitunza ndani kwani Serikali haitarajii kuona maeneo yakishikiliwa bila kuendelezwa, akieleza kuwa ameshafuta leseni 73 zilizoshindwa kufanyiwa kazi tangu mwaka 2012 licha ya ukubwa wake kufikia ekari 741,000. Ameonya kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa wamiliki wasioendeleza maeneo.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame ametoa pongezi kwa Wizara ya Madini kwa kazi kubwa wananyoifanya katika kuhakikisha sekta hiyo inawakwamua wananchi kiuchumi na kuiomba Serikali kuwapatia leseni za uchimbaji vijana na wananchi wa Nyang’hwale ili waweze kupata maeneo yatakayowawezesha kujikimu kwa sababu kwa asilimia kubwa ya uchumi wa wilaya hiyo unategemea mapato yanayotokana na sekta ya uchimbaji.

Maabara itakayojengwa katika Mkoa wa Geita ni kati ya maabara tatu zitakazojengwa katika maeneo mengine Nchini, ambapo maabara nyingine zitajengwa katika Wilaya ya Chunya na jiji la Dodoma.


Matangazo

  • MAONESHO YA NANE YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2025 August 14, 2025
  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Ushirikiano wa Walimu na Wazazi Waongeza Ufaulu Nyang'hwale

    December 05, 2025
  • Ugonjwa wa Selimundu Kupatiwa Utambuzi Geita

    December 05, 2025
  • Serikali Kujenga Maabara ya Kisasa ya Uchunguzi Madini Geita

    December 02, 2025
  • Maafisa Maendeleo ni Daraja la Kuwakwamua Wananchi Kiuchumi- Gombati

    November 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

MAKALA YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MKOANI GEITA.
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor