• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATAKIWA KUSIMAMIA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI CHATO

Posted on: November 1st, 2017

SERIKALI WILAYANI CHATO YATAKIWA KUSIMAMIA FEDHA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO

Mhandisi Robert Gabriel Lughumbi Mkuu wa Mkoa wa Geita amewataka Viongozi wa Serikali Wilayani Chato  kusimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo ili thamani ya fedha zinazotolewa ionekane.

Akizungumza baada ya kuwasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa amesema kuwa umefika wakati watendaji kuacha tabia ya kukaa Ofisini bali waende maeneo mbalimbali ya Wilaya ambapo kunatekelezwa miradi ili kusimamia kwa karibu miradi inayoendelea." Wananchi wanatakiwa kusimamiwa ata kama fedha ni za kwao ili kuweka miradi katika ubora unaotakiwa".

Aidha, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato kuhakikisha wananchi wanakuwa katika vikundi ili vishiriki katika ujenzi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika vijiji kwa kuchangia michango midogo midogo kama vile kutafuta mawe, kokoto, mchanga.  Kazi kubwa ya Halmashauri ni kuhakikisha wahandisi wanasaidia kupeleka michoro na kusimamia ujenzi wa miradi ya Zahanati na madarasa katika vijiji husika.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Chato kufuatilia ujenzi wa Bweni la wanafunzi shule ya Sekondari Jikomboe ambalo limegharimu kiasi cha Shilingi milioni 75 ili kujiridhisha kama fedha hizo zimetumika kama ilivyokusudiwa na kuona kama thamani yake inaonekana.

Akiwa Wilayani Chato Mheshimiwa Robert Gabriel ametembelea shule ya Msingi Chato  na kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa sita na vyoo, ujenzi wa Zahanati ya kijiji Mganza, ujenzi wa Bweni shule ya Sekondari Zakia Meghj pamoja na Ujenzi wa Soko la dagaa Kasenda na kuagiza takukuru kufika katika miradi hiyo ili kufuatilia matumizi ya fedha katika miradi ya Zahanati, Bweni na madarasa.

Vilevile Mkuu wa Mkoa ametembelea ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato na kupongeza jitihada za utekelezaji wa mradi huo zinazoendelea kwa kufikia asilimia 63. Awali Meneja wa Tanroads Mkoa wa Geita Mhandisi Haruna Senkuku alimweleza Mkuu wa Mkoa kuwa uwanja huo una Run way ya Kilometa 3 ambapo hadi kukamilika mradi utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 39.

Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Wapatieni Wananchi Taarifa Sahihi za Miradi ya Maendeleo- Msigwa

    May 26, 2025
  • Mkoa wa Geita Kinara Utekelezaji wa Miradi ya TASAF

    May 27, 2025
  • Serikali Inathamini Vyama vya Ushirika- RC Shigela

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa