• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Geita Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Huduma za Maji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • TEHAMA
      • Mkanguzi Wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Geita
    • Bukombe
    • Chato
    • Mbogwe
    • Nyang'hwale
  • Halmashauri
    • Halamashauri ya Wilaya Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
    • Halmashauri ya Mji Geita
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
    • Uchimbaji wa Madini
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Nyuki
    • Kilimo
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma Ufugaji
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Watakiwa Kutumia Fursa Ya Kampeni Ya Kisheria

Posted on: January 28th, 2025


Mkuu wa Mkoa wa Geita Mheshimiwa Martine Shigela amewahamasisha wananchi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kutumia fursa ya kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia( Mama Samia Legal Aid Campaign) ili waweze kusaidiwa katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kisheria wanayokumbana nayo.

Mhe. Shigela ametoa hahama hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign katika viwanja vya CCM Kalangalala Geita Manispaa.

Mhe. Shigela ameongeza kuwa wananchi wa Mkoa wa Geita wanatoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaletea huduma ya msaada wa kisheria bila gharama tofauti na kawaida ambapo ili upate huduma au msaada wa kisheria kutoka kwa wataalam hususan mawakili lazima ulipie.


“Dhamira kuu ya kampeni hii ni kutoa elimu ya sheria, kutoa msaada wa kisheria kwa waliokata tamaa, kutatua migogoro ya muda mrefu na kupanua wigo wa haki kwa wananchi wasiomudu gharama. Kuna migogoro ya ardhi, migogoro katika sekta ya madini, ndoa, mirathi inawasumbua sana wananchi ambao wameshindwa kwa kuiwasilisha kutokana na gharama zinazoainishwa hivyo wananchi tusiache kutumia fursa hii adimu itakayotuvusha kutoka kwenye migogoro hiyo.” Aliongeza Mhe. Shigela.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Alfred Dede amewaeleza wananchi kuwa baada ya uzinduzi wa kampeni huduma itaendelea kutolewa kwenye Halmashauri zote za Mkoa wa Geita kwa muda wa siku 9 na kuongeza kuwa tangu kuanza kwa kampeni hiyo jumla ya wananchi 779,191 wamenufaika na kupatiwa msaada wa kisheria ambapo kati yao wanawake ni 389,000 na wanaume ni 396,000




Matangazo

  • KANUNI MPYA ZA CSR ZA 2023 August 12, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Wafanyabiashara Wadogo Wahamasishwa Kujisajili

    May 15, 2025
  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Wafanyakazi Geita Wapewa Rai Kuboresha Taarifa Zao

    May 02, 2025
  • Waziri Mavunde Aaagiza Utekelezaji Wa Miradi Ya Nyuma Ya CSR Geita

    April 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

Sekta ya Elimu Yazidi Kuimarika Geita
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Halmashauri ya Wilaya Bukombe
  • Halmashauri ya Mji Geita
  • Halmashauri ya Wilaya Geita
  • Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chato
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
  • E-VIBALI

Tovuti Zinazohusiana

  • IKULU
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • NECTA
  • NACTE
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Maeneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita

    Sanduku la Barua: S.L.P 315

    Simu: 028 2520035

    Mobile: 028 2520035

    barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa