Posted on: September 4th, 2022
Na Boaz Mazigo - Geita
Ni siku ya mwisho Septemba 4, 2022 kwa zoezi la kitaifa la utoaji Chanjo ya Polio awamu ya tatu tangu kuanza kwake Septemba Mosi, 2022 ambapo mkoa wa Geita umefanikiwa kuvuka...
Posted on: August 31st, 2022
Na Boazi Mazigo - Geita
Shirika lisilo la kiserikali la Plan International tawi la Geita kupitia Mradi wa Kuwezesha Wasichana Kuendelea na Masomo (KAGIS) katika kuunga mkono juhudi za serikali,...
Posted on: August 25th, 2022
Na Boazi Mazigo-Geita
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kudhihirisha nia njema na upendo iliyo nao kwa kuwajali wananchi wake pale ambapo imeendelea kuridhia wananchi wa wi...