Posted on: July 18th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imetajwa miongoni mwa halmashauri za mkoa wa geita zilizopata hati inayoridhisha “Unqualified Opinion” kupitia taarifa ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG...
Posted on: July 18th, 2019
Ni mwendelezo wa Mabaraza Maalum Kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, 2018 ambapo mkuu wa mkoa wa geita mhandisi Robert Gabriel ameendesha ...
Posted on: July 17th, 2019
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amefanya ziara kutembelea na kujionea hatua ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa geita katika mwendelezo wa ziara yake ya...