Posted on: November 4th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amezindua kampeni ya usafi wa mazingira ya mtaa kwa mtaa itakayodumu mwezi mzima ikihamasisha usafi kuwa endelevu katika kuhakikisha Mji wa Geita...
Posted on: November 2nd, 2018
Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Denis I. Bandisa amesema yupo Mkoani Geita kwa lengo la kufanikisha shughuli zote za maendeleo bila kupendelea upande wowote.
Amesema kauli hiyo tarehe 01.11.2018...
Posted on: October 28th, 2018
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa namna ambavyo amekua mstari wa mbele kuhakikisha Askari Polisi ndani ya Mkoa wanapata makazi bora...