Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita Eneo la Magogo Wilayani Geita kwa kuanza mradi unaanza na ujenzi wa OPD,jengo la Utawala na Maabara mradi huu unagaharamiwa na Serikali kwa Shilingi 16 bilioni chini ya Wakala wa Majengo Tanzania TBA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa