Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Geita Kijiji cha Nyabilezi Wilayani Chato wenye runway ya Kilometa 3, unasimamiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa gharama ya shilingi 39.151 Bilioni.Mradi huu ukikamilika utakuwa na fursa ya usafirishaji wa abiria na Mizigo, pia utakuwa kichocheo cha kukuza utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Rubondo iliyo ndani ya Ziwa Victoria katika Maeneo ya Chato na Geita
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa