Friday 26th, April 2024
@
Tarehe 05.07.2019 Geita na Tanzania kwa Ujumla Ilitengeneza Historia kwa Kupata Ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Alipotua Uwanja wa Ndege Chato Akiwa ni Rais wa Kwanza wa Nje ya Nchi Aliyepo Madarakani. Rais Huyo Alipokelewa na Mwenyeji Wake Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano na Mazingira.
Ilikuwa ni Habari Njema Inayooensha Jinsi Gani Nchi Hizi Zilivyo na Historia, Lakini Pia Mahusiano
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa