KITENGO CHA SHERIA
Lengo kuu la Kitengo hiki ni Kutoa utaalam na huduma za kisheria kwa RS
Majukumu ya Kitengo cha Sheria ni kama ifuatavyo;-
(i) Kutoa huduma za kisheria kuhusiana na tafsiri ya sheria, masharti ya mkataba,
masharti ya makubaliano, mikataba ya ununuzi, dhamana, ushauri
makubaliano.
(ii) Kushiriki katika mazungumzo na mikutano mbalimbali inayohitaji utaalamu wa sheria.
(iii) Kutafsiri sheria na kutoa ushauri kwa RS.
(iv) Kuwasiliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu mashitaka ya
Kesi za madai na madai yanayohusisha RS na Halmashauri.
(v) Kutayarisha michango ya mawazo wakati wa mapitio ya vyombo vya kisheria kama vile mikataba;
mkataba wa maelewano, maagizo, arifa, cheti, makubaliano
na hati za uhamisho ambapo RS inahusika.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa