Posted on: October 21st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Martine Shigela amesema kuwa mradi mkubwa wa Maji Unaotekelezwa kwenye chanzo chake Katika Kijiji Cha Senga Halmashauri ya Wilaya ya Geita utaanza kutoa huduma ya ma...
Posted on: October 17th, 2025
Mradi wa visima virefu 150 vya kilimo cha umwagiliaji vitakavyojengwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita utawanufaisha wakulima kwa kulima kilimo cha uhakika kupitia umwagiliaji kwa mwa...
Posted on: October 15th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela ametoa wito kwa wakandarasi wote waliofanikiwa kusaini mikataba minne ya ujenzi wa miradi ya maji yenye thamani ya shilingi Bilioni 3.6 za Kitanzani...