Posted on: September 23rd, 2025
Wafanyabiashara wadogowadogo Mkoani Geita wamepatiwa elimu ya fursa zinazotolewa na serikali kupitia Benki ya NMB.
Akizungumza katika kongamano la wafanyabiashara wadogowadogo ...
Posted on: September 12th, 2025
Jamii ya wafugaji wa mnyama punda katika Mkoa wa Geita wameaswa kuhakikisha wanajali haki na afya ya mnyama huyo.
Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Arusha Society for the P...
Posted on: September 7th, 2025
Wananchi waishio katika mkoa wa Geita wamehamasishwa kutumia nishati mbadala ya gesi katika kupikia pamoja na mkaa mbadala ili kutimiza agizo la Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri...