Posted on: August 3rd, 2019
Jumla ya Shule za msingi tatu, vijiji vitatu na vituo vitatu vya kutolea huduma za afya kati ya washiriki 12 kutoka halmashauri za Nyang’hwale na Geita wameibuka kidedea kwa kujinyakulia fedha taslim ...
Posted on: August 2nd, 2019
Mkoa wa geita umezindua maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mwaka 2019, ambapo miongoni mwa malengo ya wiki hii yamejikikita katika kuinua uelewa wa jamii kuhusu usawa wa kijinsi...
Posted on: August 2nd, 2019
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia William Ole Nasha ameeleza kuridhishwa kwake na jinsi uongozi wa mkoa wa geita chini ya mkuu wa mkoa mhandisi Robert Gabriel juu ya usimamizi wa miradi mbal...