Posted on: July 14th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Martine Shigela ametoa wito kwa walimu wote ndani ya Mkoa wa Geita kutumia huduma zinazotolewa na Benki ya NMB.
Mhe. Shigela ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua...
Posted on: July 9th, 2025
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt.Ashatu Kijaji amezindua zoezi la Chanjo ya Homa ya Mapafu kwa Ng'ombe Mkoani Geita Pamoja na Zoezi la Uvikwaji wa Hereni kwa Ng'ombe tarehe 6 Julai 2025...
Posted on: July 1st, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Geita Ndugu Mohamed Gombati amewataka watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita kudhibiti mianya ya udokozi na utoroshaji wa mapato ya Serikali na kuepuka k...