Ndugu Wachimbaji wakubwa na wadogo wa Madini, Taasisi za Umma na binafsi, wauzaji na wanunuzi wa Madini, wajasiriamali, wamachinga, wauzaji wa bidhaa za Teknolojia ya Madini, Makampuni na Taasisis za kimataifa zinazojihusisha na teknolojia ya uchimbaji wa madini na wananchi wote kwa ujumla mnakaribishwa kushiriki katika Maonesho ya Nane ya Teknolojia ya Madini yatakayofanyika kuanzia tarehe18-28 Septemba 2028 katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Bombambili mjini Geita. Ili kushiriki katika Maonesho hayo tafadhali jisajili kwenye mfumo kwa kubofya maandishi ya bluu hapo chini
https://www.madinigeita.co.tz/reg
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa