Saturday 3rd, June 2023
@
Tarehe 13.07.2019 Tanzania Kupitia Wilaya ya Chato Mkoani Geita Ilipokea Mgeni, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni Aliyetua Kwenye Uwanja wa Ndege wa Chato, AKiwa ni Rais wa Pili wa Nje ya Nchi Aliyeko Madarakani Aliyepokelewa na Mwenyeji Wake Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika Ilikuwa Furaha kwa Watanzania Walipomsikia Mhe. Museveni Akisema Kwake Yeye Tanzania ni Hija Hivyo Akija Tanzania Huwa Anakuja Kuhiji.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita
Sanduku la Barua: S.L.P 315
Simu: 028 2520035
Mobile: 028 2520035
barua pepe: ras.geita@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2017Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita. Haki zote zimehifadhiwa