Posted on: April 17th, 2021
Kiitikio cha salamu mpya hapa nchini Tanzania kijulikanacho kama “kazi iendelee” kimeendelea kudhihirika mkoani Geita Aprili 17, 2021 baada ya mkuu wa mkoa wa Geita mhandisi Robert Gabriel kuweka mawe...
Posted on: April 15th, 2021
Mhandisi Robert Gabriel, Mkuu wa Mkoa wa Geita afurahishwa na Ujenzi wa Shule ya Ghorofa ya Sekondari Nyalwanzaja Wilayani Geita ambayo kwa uwepo wake itaondoa adha kwa wanafunzi kutembea zaidi ya KM ...
Posted on: April 15th, 2021
Imeelezwa kuwa, jumla ya Tshs.167, 972,000 zitazinufaisha kaya 2,919 zinazoendelea kunufaika na Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini ndani ya Halmashauri ya Mji Geita ikiwa ni kipindi cha tatu cha uhawili...